10 Juni 2013 - 13:51
wanajeshi wawili wa Iran wafa kishahidi katika haram ya Bi Zainab a.s

wanajeshi wawili wa jeshi la jamhuri ya kiislamu ya Iran Ali Asghar Shanai na Mahdi Khurasani wamekufa kishahidi wakitetea haram ya Hazarat Zainab a.s katika mji kuu wa Syria Damacus

wanajeshi hao wawili ambao walikuwa wakidumisha ulinzi katika haram ya hazarat Zainab a.s huko Syria wamekufa kishahidi katika mapambano na magaidi wa Syria.
  mazishi ya mashujaa hao yalihudhuriwa na wakuu wa kisheji wa ngazi tofauti wa Syria.
yafaa kuashiria kwamba jeshi la Syria likishirikiana na makomando wa Hizbollah wamefanikiwa kuvunja ng'ome kuu ya magaidi wa Syria na kuudhibiti mji wa Qusair kwa asilimia mia moja.